Aslay – Kilangakomo Lyrics
Aslay – Kilangakomo Lyrics Ah ya, ah ya
Ouh, ouuuh
ouh, ooooh
Uvivu wa kuchagua nimeula wa chuya
Nilichagua sura, wala sikujali tabia ah
Na kubwa kupungua ndipo kanijia
Mateso yake, kutwa namfikiria
Kumbe nimeuziwa mbuzi kwa gunia
Kwenye cover burger, ndani nilikuta bajia hmm
Mbona nampenda sana
Ninamlinda sana
Ananitesa jama, mama
Nahisi amechanganya, moyo unagandama
Nataka kula nyama, nyama
Oh laini anatoka sasa bar
Simu ukipiga inatumika
Message anazionaga
Dhiki za blueblue zimejaa anazipitaga
Kilangakomo (hmmm), kilangakomo mwana mie
Salamu kalonga kilangakomo
Nafumba promo (hmmm), naweka mdomo itulie
(itulie itulie itulie)
Kilangakomo (hmmm), kilangakomo mwana mie
Salamu kalonga kilangakomo
Nafumba promo (hmmm), naweka mdomo itulie hmmm
Nishaga kumbana na pazi na kazi nikakosa
Baada ya kufuma message nikamiss kutomaswa
Nishagombanaga naye ni fundi wa msasa
Kapiga msasa bedi na penzi akala kabisa
Sa nikupe nini wewe malkia
Utulie kama nilivyotulia
Unataka nife siku hazijafikia
Hicho labda ndicho unasubiria hmmm
Mbona nampenda sana
Ninamlinda sana
Ananitesa jama, mama
Nahisi amechanganya, moyo unagandama
Nataka kula nyama, nyama
Oh laini anatoka sasa bar
Simu ukipiga inatumika
Message anazionaga
Dhiki za blueblue zimejaa anazipitaga
Kilangakomo (hmmm), kilangakomo mwana mie
Salamu kalonga kilangakomo
Nafumba promo (hmmm), naweka mdomo itulie
(itulie itulie itulie)
Kilangakomo (hmmm), kilangakomo mwana mie
Salamu kalonga kilangakomo
Nafumba promo (hmmm), naweka mdomo itulie hmmm