New Lyrics

EBITOKE x SIMCO – SARE SARE Lyrics

EBITOKE x SIMCO - SARE SARE Lyrics
EBITOKE x SIMCO – SARE SARE Lyrics

EBITOKE x SIMCO – SARE SARE Lyrics Baby girl you’re mine
Nikikuona burudani vile nimedata
Body ya kuchota Nyume umenona kifuani
Kisura ndo swadakta

Usidharau wembamba wa reli
Gari moshi linapita kweli
Tusiishi kwa visa Tom na Jerry
Nahodha ukaja zamisha meli

Waje wazee wakuchanga kama karata
Chunga wasije kuzima data
Mwenzako sina nguvu za paka
Ukiniumiza mapema nitakata roho

So usije na chontalia
Penzi likichacha ntaumia
Kama gari likikata gia
Basi tuzikwe pacha mi nawe

Me and you sare sare
Couple iliyo hot yaani hatare
Me and you sare sare
Couple iliyo hot yaani hatare

Me and you sare sare
Couple iliyo hot yaani hatare
Me and you sare sare
Couple iliyo hot yaani hatare

Sa fanya unipe tuzidi kupendana
Hadi nizimike wanikute omwana
Na tujifunike nikulishe banana
Kisha nikufikishe zimiminike more mama

Nimepamia ya leo
Ntakamia ya leo
Ninavyotetema, nitavyochechema
Utanikimbia ya leo

Nimepamia ya leo
Ntakamia ya leo
Ninavyotetema, nitavyochechema
Utanikimbia ya leo

So usije na chontalia
Penzi likichacha ntaumia
Kama gari likikata gia
Basi tuzikwe pacha mi nawe

Me and you sare sare
Couple iliyo hot yaani hatare
Me and you sare sare
Couple iliyo hot yaani hatare

Me and you sare sare
Couple iliyo hot yaani hatare
Me and you sare sare
Couple iliyo hot yaani hatare

Komesha Aristote
Finya ndani meza yote
Komesha Ebitoke na usinyoke
Na usichoke

Asa chomeka inyokee
Inavyokata isitoke
Ah chomeka ichochee
Ukiipeleka kote kote

Tags

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button
Close
Close