New Lyrics

MARISSA – Naunga Lyrics

MARISSA - Naunga Lyrics
MARISSA – Naunga Lyrics

MARISSA – Naunga Lyrics. Barua uliyoituma imefika mama nimeipata
Imechoma na moyo umeniuma
Yabitawe kiboko na sada
Natamani nipate mwanao nirudi nyumbani nikutunze
Tuzikwepe dhiki na vilio
Maisha ya kushindia punje

Huku mjini maisha yangu rafiki yake ni kilio
Tamu hakuna chungu kwangu kila siku matukio
Mama huku mjini ni visanga, Amber Lulu ameitwa Basata
Ngala yangu ya chini sio kitanda, viroboto kunguni ni kung’ata

Ila bado naunga naunga ee, naunga unga
Sina kodi ya chumba naunga ee, naunga unga
Mama bado naunga naunga ee, naunga unga
Vazi langu mtumba ndo ning’ae naunga unga

Nahisi naishi kwa imani yake Baba
Minuksi mikosi imeniandama
Ndo chana kuja nitapata kesho
Nikishtuka niko leo
Maisha yangu vichekesho kama movie ya video
Oh mama wapi baba, kumbwa na tamaa
Dhiki ya mali, tamaa ya mali au ndo ulipagawa na Dar

Huku mjini maisha yangu rafiki yake ni kilio
Tamu hakuna chungu kwangu kila siku matukio
Mama huku mjini ni visanga, Amber Lulu ameitwa Basata
Ngala yangu ya chini sio kitanda, viroboto kunguni ni kung’ata

Ila bado naunga naunga ee, naunga unga
Sina kodi ya chumba naunga ee, naunga unga
Mama bado naunga naunga ee, naunga unga
Vazi langu mtumba ndo ning’ae naunga unga

Nikipata natuma upate sembe, naunga unga
Vijisenti natuma ushone tenge, naunga unga
Katikati nayapitia denge, naunga unga
Msafara wa mama nipo kenge, naunga unga

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button