New Lyrics

NACHA – DARASA HURU (Spoken Word Poetry) Lyrics

NACHA - DARASA HURU (Spoken Word Poetry) Lyrics
NACHA – DARASA HURU (Spoken Word Poetry) Lyrics

NACHA – DARASA HURU (Spoken Word Poetry) Lyrics Asalaam Aleikum
Kwa jina la baba la mwana
Na la roho mtakatifu
Karibu kwenye darasa huru
Mwalimu wako ni Nacha
Kiingilio ni macho yako tu na masikio tu
Kisha maadili unapata

Mnyasubi ndani ya mbanyu
Mziki wako Nacha ni shule
Mafans wengi ndo wanavyoniambia
Na nilivyompenda sifa huwa nawajibu
Hii ni zaidi ya three siters
One husband ni ya walioniambia
Karibu kwenye darasa huru

Utakula kwa jasho
Kwa hivyo kupambana inakulazimu
Mi mwenzako sina hamu
Nikikumbuka nilivyopoteza muda kutembea
Umbali mrefu toka Nyasubi mpaka Nyanga primary
Kusoma maarifa ya jamii na sayansi
Elimu ni ufunguo wa maisha wow
So waliosoma na hawana kazi mpaka sasa
Funguo zao zilipotea mnamaanisha au?

Anyways nisikilize kwa makini
Tuendelee kupata darasa huru
So hata kipindi si ni watoto wadogo
Wao wamelala asubuhi wakingoja breakfast
Si tulibeba jembe, tukiwa peku kwenye mvua tukilima

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button