New Lyrics

OFFICIAL BIGI – Long Way Lyrics

OFFICIAL BIGI - Long Way Lyrics
OFFICIAL BIGI – Long Way Lyrics

OFFICIAL BIGI – Long Way Lyrics. Long way is that I had to live
Hard days when I had to breathe
Saa nishajipanga, mniishajipanga
Minishajipanga hey
Don’t be Don’t be Don’t be that’s what they said
Have been tryna be easy
Work hard am no busy
I don’t stabaga my brain just switching up everytime easy

Don’t tryna fight with me
Everyday am trayna garantee
Everytime not kingi
Only way ni mbele
Don’t trayna fake with me
Have been up Kipchoge
Story mingi tunapiga
Nigga don’t stop me ever

Hey days just change now
I switch I made a mind
Everyday trayna get easy
This game gonna crack eye
Have been just tryna live this life in end end
I just can’t stop one time this time am only

Don’t tryna change hommy
This fight gonna live me
Have been live in a street
Changes but I can’t stop this

Thinking about it thinking about it
Thinking about it when
Saa nikujikaza saa nikujikaza
Saa nikujikaza hey
Nimejipanga nimejipanga nimejipanga hey
Leo ni kuroga Leo ni kuroga leo ni kuroga hey
Hakuna utani hakuna utani Hakuna utani hey
Mindo kusema mindo kusema mindo kusema hey

Mindo kusema mtaa hakuna tena kuzubaa
Mimi ndo boss machapaa ngoma zangu kwa mtaa
Mafala wote nawakataa hamwezi fika kiasi hiki
Nyote kwangu masnichi mziki wenyu hauskiki

Walijichocha wamejipanga minakujanga
Nani mapanga hapa hakuna kukaza kamba bro
Mi ndo kutambulika bro
Mangoma zangu ziko ligi soo
Uliza mindo Bigi yooh
Sicopy mistari yenyu yooh
Inatoka kwa kichwa yooh

Mziki kwa damu yangu yooh
Bidii nifike mbali yooh
Sitaki upuzi wenyu yoow
Fanya bidii ufike ligi bro
Mpaka uwerk sana yoow
Ama uwende shule yoow
Ama utapata stress bro

Harmonize – Anajikosha

Tags

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button
Close
Close