New Lyrics

Zuchu Ft Diamond Platnumz – Litawachoma Lyrics

Zuchu Ft Diamond Platnumz - Litawachoma Lyrics
Zuchu Ft Diamond Platnumz – Litawachoma Lyrics

Zuchu Ft Diamond Platnumz – Litawachoma Lyrics (Mr LG)

Habibi lauzi kipenzi changu cha ngama
Mimi na wewe hadi milele
Komesha wachokozi wabaki kututazama
Tuwatoe jasho la nywele

Haa nimesikia habari
Eti kuna mtu twamkera
Oooh mwana akae tayari
Maana bado movie hili litaenda

Na usiku nikumbate (Ni tete te)
Ooh my babe boo (Ni tete te)
Kwa ghetto ning’ate ng’ate (Ni tete te)
You know I love you

Nikizidi ugomvi unichape (Ni tete te)
Silaha rungu (Ni tete te)
Kwenye joto nipepee (Ni tete te)
Mwendani wangu

Penzi letu kwao fire
Litawachoma sana
Mmmh!Litawauma
Litawachoma sana

Eh kwa roho mbaya zenu
Litawachoma sana
Oooh na hatuwachani
Litawachoma sana

[Diamond Platnumz] Mmhhm Ada! Kinachotaka sasa nafsi
Huba si sabuni
Kwangu usiwe na wasi
Nishaacha uhuni

Ada! Kama moyo jiko basi
We ndo wangu kuni
Mapenzi soccer
Nipe pasi nitie nyavuni

China wasikutishe
Kwa jumbe zao za kata (Kata)
Mi ndio kamati kuu
Hapa jimbo umepata (Pata)

Maftani tashtiti
Na baby unayajua
Siwezi fanya ya Shishi
Uchebe kukubutua

Waambie na ibilisi
Watu wanajisumbua
Ufupa kashindwa fisi
Wao paka utawaua

Dodo dodo
Nimeokota dodo na mjani wake
Nimeokota dodo
Litayemkera ni shauri zake

Simba nimelipata dodo
Nimeokota dodo na mjani wake
Oh mi mwenzenu toro
Litayemkera ni shauri zake

Na litawachoma
Litawachoma sana
Mmmh!Litawauma
Litawachoma sana

Eh kwa roho mbaya zenu
Litawachoma sana
Oooh na hatuwachani
Litawachoma sana

Asa baby nichezeshe ngondo
Ngondo, ngondoi kwako
Ah tulicheze ngondo
Ngondo, ngondoi kwako

Eh timbwili timbwili tutimbwilike
Ngondo, ngondoi kwako
Oooh mpaka kupambazuke
Ngondo, ngondoi kwako

Ai Ngondo!

(Ayolizer)

Wasafi

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button