New Lyrics

BALAA MC Ft MARIOO – Nakuja Remix Lyrics

BALAA MC Ft MARIOO - Nakuja Remix Lyrics
BALAA MC Ft MARIOO – Nakuja Remix Lyrics

BALAA MC Ft MARIOO – Nakuja Remix Lyrics. Na mchumba mbona hutokei mama wee (Nakuja)
Nishachoka kuchoreshana niambie (Nakuja)
Na mchumba mbona hutokei mama wee (Nakuja)
Nishachoka kuchoreshana niambie (Nakuja)

Mwenzako nishafunga mpaka maviremba (Nakuja)
Mwenzako nishapaka mpaka unga unga (Nakuja)
Mwenzako nishameza mpaka mavidonge (Nakuja)
Virusi naogopa nishanunua mi pakti nzima (Nakuja)

Kama nauli nishakutumia (Nakuja)
Sa mbona mpaka sasa mchumba hujatokea (Nakuja)
Ulitaka kijora nikakuzingatia (Nakuja)
Sa mbona simu nikipiga unanikatia (Nakuja)

Nikipiga simu mda wote unasema (Nakuja)
Kanywa wine nitakuimbia sensema (Nakuja)
Na ukiwahi nitakupeleka kwa mama (Nakuja)
Sio utani yaani amekumiss sana (Nakuja)

Mwenzako  nimekumiss mamiloo (Nakuja)
Usipokuja aki ya Mungu nitaumia roho (Nakuja)
Nakupenda mi msela sio bishoo (Nakuja)
Njoo basi mwenzako nimemiss show (Nakuja)

Si ulitaka hela ya ligi nikakupa (Nakuja)
Hata kijora kwa Mobetto nishalipa (Nakuja)
Si ulitaka kepe yai nishaagiza (Nakuja)
Hata kitenge kwa Wolper nishalipa (Nakuja)

Siku hizi mbona muongo mamiloo (Nakuja)
Mda wote huwa unasema uko Kariakor (Nakuja)
Punguza kujiangalia kwa kioo (Nakuja)
Njoo basi mwenzako nimemiss show (Nakuja)

SAMSONG Ft MERCY CHINWO – Jesus Lyrics

Tags

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button
Close
Close